Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Julio anukia Singida Fountain Gate

Jamhuri Kihmelu Julio.jpeg Jamhuri Kihwelu ‘Julio’

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imefahamika Klabu ya Singida Fountain Gate FC, ameshakamilisha makubaliano binafsi na Kocha wa Zamani wa Vilabu vya Simba SC, Mwadui, Dodoma jiji na KMC, Jamhuri Kihwelo 'Julio', kuchukua nafasi ya aliyekuwa kocha wao mkuu Thabo Senong,

Imefahamika Kuwa baada ya mechi dhidi ya Simba SC Julio atatangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Singida Fountain Gate FC,

Kwasasa timu ipo chini ya Kocha Ngawina Ngawina na Kocha wa Makipa Ally Mustapha kama kocha wa muda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live