Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Julian Nagelsmann apewa kipaumbele na Mabosi Chelsea

Nagelsmann Bayern.jpeg Julian Nagelsmann

Tue, 4 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabosi wa Chelsea wanampa mafasi kubwa aliyekuwa Kocha wa Bayern Munich Julian Nagelsmann kwenda kurithi Mikoba ya Graham Potter pale Darajani.

Mabosi wa Chelsea wanampa mafasi kubwa aliyekuwa Kocha wa Bayern Munich Julian Nagelsmann kwenda kurithi Mikoba ya Graham Potter pale Darajani. Nagelsmann alitimuliwa na Beyern wiki iliyopita lakini Chelsea wanaona ni mtu sahihi kurithi mikoba ya Graham Potter ambae nae ameooneshwa mlango wa kutokea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: