Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Julian Alvarez aingia anga za Chelsea

Julian Alvarez 25 At 12.jpeg Mshambuliaji wa Manchester City Julian Alvarez

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Manchester City Julian Alvarez ametajwa kuwa kipaumbele cha kwanza katika safu ya ushambuliaji ya Chelsea.

Chelsea inamtaka nyota huyo raia wa Argentina ili kukisuka upya kikosi chake kinachoanza kujijenga upya.

Klabu zingine kutoka nje ya Uingereza zinazomtaka nyota huyo ni Atlético Madrid na Paris Saint-Germain (PSG) nao wameonesha nia ya kumtaka mchezaji huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live