Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jude Bellingham kuwaniwa na vilabu vikubwa vitatu

Jude Bellingham Hg Jude Bellingham kuwaniwa na vilabu vikubwa vitatu

Tue, 6 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa kati wa klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Ligi ya Bundesliga na Timu ya Taifa ya Uingereza, Jude Bellingham (19), kwa sasa anawaniwa na Vilabu vikubwa vitatu.

Kiungo wa kati wa klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Ligi ya Bundesliga na Timu ya Taifa ya Uingereza, Jude Bellingham (19), kwa sasa anawaniwa na Vilabu vikubwa vitatu. Hio ni baada ya Manchester United kujiondoa katika mbio za kumsajili kiungo huyo wa kati kutoka Borussia Dortmund na kufanya Liverpool, Manchester City na Real Madrid kusalia kuongoza katika kinyang’anyiro hicho. (Sky Sports Germany).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live