Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jude Bellingham ana yomkubali Messi

Messi Jude8 Chrome Jude Bellingham ana yomkubali Messi

Sat, 28 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Rela Madrid, bwana mdogo Jude Bellingham amefunguka kuhusu Idol wake Leonel Messi.

Jude Bellingham : “Kila ninapomtazama Messi, anafanya kitu ambacho huwa nafikiri tu ‘hawezi kuwa binadamu wa kawaida kwenye soka!’”

"Messi ana cheza namba tofauti tofauti uwanjani na zote hucheza kwa mtindo mmoja ,unapomtazama Messi uwanjani anavutia sana lakini ni vigumu kuiga au kufanya kile anachofanya yeye japo kinavutia kutazama.

Leo Juma Mosi Saa 17:15 ni El Clasico Dabi kubwa kabisa duniani Dabi ya Nchi ya Spain inaowakutanisha mahasimu wakubwa wa taifa ambao ni Real Madrid kutoka Jijini Madrid na watoto wa Jimbo la Catalunya kutoka Jijini Barcelona FC Barca.

FC BARCELONA V REAL MADRID ON SATURDAY

TAKWIMU ZA LEONEL MESSI DHIDI YA REAL MADRID

????????LEO MESSI ????️_GAME__46 ⚽_GOAL___26 ????️_ASSISTS __14

Kumbuka Hat Trick ya Kwanza ya Messi kwenye maisha yake ( Magoli Matatu⚽⚽⚽ kwenye Mechi Moja) aliwafunga Real Madrid akiwa na miaka 19 tu.

Amehusika kwenye Jumla ya Magoli 40 dhidi ya Real Madrid kwenye Mechi 46 alizokutana nao .

Messi ndiye alikua mbaya wa Real Madrid amechukua Kombe la Ligi mara Saba mfululizo huku Madrid wakiwa wanaishia nafasi ya pili au ya tatu amebeba UEFA Nne amebeba Balloon Dior mara 7.

Halafu ndiye mchezaji mwenye Assists nyingi kuliko mchezaji yoyote yule tangu ligi kuu Spain ianzishwe pia ndiye mchezaji mwenye magoli mengi kuliko yoyote yule ligi Ile pia ndiye mchezaji alieshinda tuzo nyingi za mchezaji Bora wa mechi kuliko yoyote yule na ndiye mchezaji alieshinda Makombe mengi kuliko mchezaji yoyote yule tangu ligi Ile ianzishwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live