Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jude Bellingham amvuta Alexander-Arnold Real Madrid

Jude Bellingham Arnold Ewf Jude Bellingham amvuta Alexander-Arnold Real Madrid

Wed, 14 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham anatumiwa na kikosi hicho kumshawishi rafiki yake mlinzi wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ajiunge na wababe hao wa Hispania.

Jude na Arnold ni marafiki wa karibu zaidi kutokana na wote kuichezea timu ya taifa Uingereza na Madrid wanataka kutumia mwanya huo kumnasa Arnold.

Klabu ya FC Barcelona nayo inamfuatilia kwa ukaribu mlinzi huyo wa pembeni ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika Mwaka 2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live