Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Juan Mata atimkia Japan

Juan Mata Juan Mata

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Manchester United Juan Mata amejiunga na klabu ya Vissel Kobe inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Japan kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake Galatasaray ya Uturuki kutamatika.

Kiungo wa zamani wa Manchester United Juan Mata amejiunga na klabu ya Vissel Kobe inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Japan kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake Galatasaray ya Uturuki kutamatika. Mata (35) raia wa Uhispania ambaye pia amewahi kuchezea Chelsea na Valencia ya Uhispania atavaa jezi namba 64 klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live