Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jpan mdogo mdogo wamejipata

Japn National Team Kikosi cha Timu ya Taifa ya Japan

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa Japan imefunga magoli yasiyopungua 4 kwa kila mchezo kwa michezo mitano ya mwisho.

Michezo hiyo ilicheza dhidi ya;

Japan 6 - 0 Salvador

Japan 4 -1 Peru

Germany 1 - 4 Japan

Japan 4 - 2 Uturiki

Japan 4 - 1 Canada

Hakika Japan imejipata msimu huu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live