Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joyce Lomalisa kusepa Azam FC

Lomalisa Control Joyce Lomalisa kusepa Azam FC

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kushoto wa Yanga SC, Joyce Lomalisa huenda akatimkia Azam Fc kwa mujibu wa tetesi zilizotufikia kuwa wapo kwenye hatua za mwisho za majadiliano.

Beki wa kushoto wa Yanga SC, Joyce Lomalisa huenda akatimkia Azam Fc kwa mujibu wa tetesi zilizotufikia kuwa wapo kwenye hatua za mwisho za majadiliano. Klabu ya Azam FC inafanya usajili wa kukiboresha kikosi chao kwaajili ya ushiriki wa mashindano ya kimataifa kwa msimu ujao 2024 - 2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: