Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joseph Guede mambo magumu Yanga

Joseph Guede Yanga Joseph Guede

Fri, 9 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji mpya Joseph Guede amecheza mchezo wake wa tatu akiwa na Yanga akipewa zaidi ya dakika 131 baada ya jana kucheza dakika 86 bila kupata bao lolote akipiga mashuti mawili pekee yaliyolenga lango.

Mshambuliaji mpya Joseph Guede amecheza mchezo wake wa tatu akiwa na Yanga akipewa zaidi ya dakika 131 baada ya jana kucheza dakika 86 bila kupata bao lolote akipiga mashuti mawili pekee yaliyolenga lango. Guede bado anaendelea kuonyesha akikosa utulivu wa kukaa sana ndani ya eneo la hatari huku muda mwingi akionekana kutohusika katika mchezo, jambo ambalo liliifanya Yanga ionekane kama inacheza na watu 10 uwanjani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: