Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jose Mourinho: Siipendi Spurs

Jose Mourinho Portugal.jpeg Kocha wa AS Roma Jose Mourinho

Fri, 26 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jose Mourinho kocha wa AS Roma amefunguka na kusema katika vilabu alivyowahi kuhudumu hana mapenzi kabisa na Tottenham Hotspurs.

Hii ni kwa sababu Levy hakumpa muda wakati akiwa kocha. Ilikuwa ni kipindi cha COVID 19 lakini pia hakumuacha afike fainali wakati Spurs inashiriki UEFA Champions League.

Mourinho amewahi kupita vilabu kama FC Porto, Chelsea, Inter Milan, Real Madrid, Manchester United na sasa yupo AS Roma ambapo amefika fainal katika michuano ya EUROPA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live