Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jorginho ahitimu mafunzo ya ukocha

Jorginho Xxx Jorginho ahitimu mafunzo ya ukocha

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa klabu ya Arsenal Jorginho (32) amemaliza mafunzo yake ya ukocha ya leseni B ya UEFA.

Kiungo wa klabu ya Arsenal Jorginho (32) amemaliza mafunzo yake ya ukocha ya leseni B ya UEFA. Jorginho ameungana na Mohamed Elneny na Xhaka ambao wao walifanya mafunzo hayo siku za nyuma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live