Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jordi Alba kuachana na Barcelona mwishoni mwa msimu

Alba.png Jordi Alba

Wed, 24 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Barcelona, Jodri Alba ataachana na Barca mwishoni mwa msimu huu baada ya kuitumikia kwa miaka 11.

Mlinzi huyo wa kushoto ana mkataba na Barcelona hadi June 2024 lakini ameamua kuuvunja na kwenda kuanza maisha mengine nje ya Barcelona.

Alba ambaye alianza maisha yake ya soka Barca 1998 na baadaye kupunguzwa 2005 kwa kuchukuliwa mfupi, alirejea tena Camp Nou mwaka 2012 na kucheza kwa mafanikio makubwa kwenye michezo 312.

Amefanikiwa kushinda mataji 6 ya LaLiga, Copa del Rey (6), UEFA Champions League (1) mwaka 2014-15 pamoja na taji la FIFA Club World Cup mwaka 2015.

Baada ya Sergio Busquets sasa ni Jodri Alba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live