Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

John Noble ndiye anaongoza 'clean sheets' Ligi Kuu

Cleansheet Ds John Noble ndiye anaongoza 'clean sheets' Ligi Kuu

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinara wa Clean Sheets kwenye Ligi Kuu ya NBC mara baada ya mechi za mzunguko wa tisa kumalizika.

Golikipa wa Kimataifa wa Nigeria ambaye anakipiga katika kikosi cha Tabora United John Noble ndiye anaongoza kwa clean sheets nyingi ndani ya ligi kuu ya NBC akifuatiwa na Djigui Diara wa Yanga Sc.

-John Noble - 05

-Djigui Diara - 04

-Lay Matampi - 03

-Idrisu Abdulai - 03

-Daniel Gore - 03

Je, Kipa wa timu yako yupo hapo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live