Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

John Evans alamba dili jipya Man United

IMG 5533.jpeg John Evans asaini Mkataba mpya Man United

Sat, 2 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jonny Evans (35) amesaini Mkataba wa muda mfupi wa kuitumikia Manchester United hadi mwezi Juni 2024.

Jonny Evans (35) amesaini Mkataba wa muda mfupi wa kuitumikia Manchester United hadi mwezi Juni 2024. Hatua hiyo imekuja baada ya Klabu hiyo kukumbwa na kundi kubwa la Majeruhi hasa katika eneo la ulinzi hivyo wameamua kumbakisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live