Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

John Bocco sio mchezaji wa kubezwa wala kudharauliwa -Manara (+Video)

Manaraaaaaaaa Manara asikitishwa kushambuliwa kwa John Bocco

Fri, 28 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Ligi ikifika raundi ya 13, huku mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu uliopita John Bocco akiwa hajafunga goli hata moja, wengi wameibuka na kuponda kiwango cha Mchezaji huyo mwenye rekodi nyingi katika soka la nchi hii.

Bocco amekosa uhakika wa kuanza katika kikosi cha Simba kutokana na ukame wa magoli unaomkabili, huku mjadala kuhusu yeye ukiwa ni mkubwa, wengine akisema amezeeka wakitaka aachwe.

Sasa mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe, hilo halikumzuia Msemaji wa Yanga, Haji Manara ambae amedai uwezo wa Bocco ni mkubwa na kile anachopitia ni changamoto ya kawaida katika soka.

Msikilize Manara hapa chini akimuelezea John Bocco;

View this post on Instagram

A post shared by Haji Sunday Manara (@hajismanara)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live