Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

John Bocco aibukia JKT Tanzania, atambulishwa rasmi

John Bocco JKT Tz John Bocco

Wed, 10 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni muda wa wapinzani kukaa roho juu, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Klabu ya JKT Tanzania kumtambulisha John Rafael Bocco kutokea Simba SC.

Bocco ambae ni mmoja wa wachezaji wenye rekodi za kutisha Ligi Kuu Bara, aliachana na Simba mwisho mwa msimu uliopita ambapo alipewa ofa ya kufundisha timu za vijana chi ya miaka 17.

Kwa utambulisho huo inamaanisha kuwa Bocco ataendelea kusakata kandanda msimu ujao 2024/25 akiwa na JKT Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live