Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joe Allen atangaza kustaafu Timu ya Taifa

Joe Allen Pirlo Kiungo wa Swansea, Joe Allen

Wed, 8 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Liverpool, Joe Allen raia wa Wales ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Swansea City ametangaza kustaafu soka la Kimataifa akiwa na umri wa miaka 32.

Kiungo wa zamani wa Liverpool, Joe Allen raia wa Wales ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Swansea City ametangaza kustaafu soka la Kimataifa akiwa na umri wa miaka 32. Allen ambaye ameichezea timu ya Taifa Wales mechi 74 anaungana na Gareth Bale ambaye pia amestaafu kuitumikia timu ya Taifa Wales.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live