Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joao Neves atua PSG

Joao Neves (2) Joao Neves atua PSG

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Paris Saint-Germain imekamilisha uhamisho wa kiungo Joao Neves (19) raia wa Ureno kutoka Benfica kwa dau la Euro Milioni 60 pamoja na ongezeko la Euro Milioni 10 baadae.

Klabu ya Paris Saint-Germain imekamilisha uhamisho wa kiungo Joao Neves (19) raia wa Ureno kutoka Benfica kwa dau la Euro Milioni 60 pamoja na ongezeko la Euro Milioni 10 baadae. Kiungo Renato Sanches anahamia Benfica kwa mkopo kutoka PSG kama sehemu ya dili hilo akirejea Benfica miaka 8 tangu alipoondoka klabuni hapo mnamo na kujiunga na Bayern Munich.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live