Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joao Felix kukimbia Ulaya

Joao Felix Xx Joao Felix

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbali ya kuhusishwa na Liverpool na Barcelona, mshambuliaji wa Atletico Madrid, Joao Felix huenda akatimkia nchini Saudi Arabia ikiwa timu hizo zitashindwa kumsajili katika dirisha hili.

Mbali ya kuhusishwa na Liverpool na Barcelona, mshambuliaji wa Atletico Madrid, Joao Felix huenda akatimkia nchini Saudi Arabia ikiwa timu hizo zitashindwa kumsajili katika dirisha hili. Taarifa kutoka Daily Mail zinaeleza kwamba tayari moja ya timu nchini humo imeshafikia muafaka wa kumsajili Felix kwa mkopo wa msimu mmoja katika dirisha hili. Mkataba wake unaisha 2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live