Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joao Cancelo kulamba dili nono Man City

Lcimg F0253895 1b46 43cd Be06 9cfe3b6c47a9 Joao Cancelo

Mon, 20 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hakika, juhudi zinaweza kukupa mchongo. Joao Cancelo ni mfano tosha katika hili. Juhudi zake zinamfungulia milango mikubwa pale Etihad.

Cancelo amekuwa kwenye kiwango bora msimu huu ndani ya kikosi cha Pep Guardiola. Akicheza kama beki wa kulia, huwezi kusema Cancelo ni beki hasa, mchango wake kwenye mashambulizi na mfumo wa uchezaji wa Man City, ni mkubwa kadiri siku zinavyozidi kwenda.

Japokuwa Joao Cancelo bado anamkataba na City mpaka 2025, imeripotiwa klabu hiyo ipo mbioni kuboresha zaidi mkataba wake ikiwa ni pamoja na kumuongezea mshahara wa takribani Pauni 100,000.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live