Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joan Laporta: Ni ngumu kupata mchezaji mzuri Januari

Joan Laporta JOAN Rais wa Barcelona, Joan Laporta

Tue, 15 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amezungumiza mipango ya timu hiyo kwenye usajili wa mwezi Januari, ikiwa ni sehemu ya kuzidi kuimarisha kikosi chao.

Amesema kuwa “Tunafikiria kuboresha kikosi kama kawaidia, lakini haitakuwa rahisi kupata wachezaji imara mwezi Januari”

“Tutakuwa na tatizo la fedha kulingana na kanuni, ambapo hatupo tena kwenye Ligi ya Mabingwa”-Laporta

Kikosi cha Xavi kimeondoshwa kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFA, na kuangukia kwenye Mashindano ya Europa NA tayari hatua ya 16 bora imekwisha kupangwa ambapo, Barcelona itakutana na Manchester United ya Eric Ten Hag. Tazama odds bomba na kubwa hapa.

Taarifa kutoka vyanzo vya habari nchini Hispania zinaeleza kuwa Barcelona wana mpango wa kumrudissha Lionel Messi ambaye anakipiga kwenye klabu ya Paris Saint-German.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live