Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jina Tarryn lajumuishwa Taifa Stars kuelekea AFCON

Tarryn Allarakhiau Jina la Tarryn lajumuishwa Taifa Stars kuelekea AFCON

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jina la Kiungo Mshambuliaji wa Wealdstone FC ya Uingereza, Tarryn Allarakhia (26) limejumuishwa rasmikwenye kikosi cha Taifa Stars kitacho kwenda kwenye Mashindano ya AFCON 2024 nchini Cameroon.

Kwa mujibu wa Menejimenti inayomsimamia Tarryn imeeleza kwamba jina la mchezaji huyo ni miongoni mwa majina 55 ya mwanzo ambayo TFF Kupitia kwa Kocha wa Taifa Stars wameyapokea tayari kwa mchujo kuelekea AFCON.

Pia, Kocha huyo amemjumuisha beki wa kati ambaye pia anaweza kucheza kama beki wa kulia na beki wa kushoto, Roberto Nditi, 23 anayekipiga Forfar Athletic FC, ya Scotland, United Kingdom.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live