Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jezi ya Yanga ya pili kwa ubora Afrika

Jezi Yanga Home Jezi ya Yanga ya pili kwa ubora Afrika

Sat, 29 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jezi ya nyumbani ya @yangasc imetajwa kama moja kati ya jezi bora za vilabu vya mpira barani Afrika ikiwa inashika nafasi pili nyuma ya jezi ya Zamalek SC @zscofficial ya nchini Misri.

Jezi hiyo ya Yanga imetajwa kama moja ya jezi zilizotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu pamoja na ubunifu wa kipekee ambao ulifanywa na @sheriangowi .

Jezi ya Simba 'third kit' nayo haijabaki nyuma kwani imetajwa kama jezi namba 9 kwa ubora barani Afrika.

Taarifa hizi zimetolewa na ukurasa maarufu wa michezo barani Afrika unaojulikana kama @africasoccerzone .

Je, ni ipi jezi bora zaidi kwako katika hizo 10 zilizoorodheshwa na mtandao huo? tuandikie kwenye comments hapo chini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live