Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jeremia Frimpong atua kwenye rada za Arsenal

Jeremia Frimpong Jeremia Frimpong

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal imepanga kumsajili Jeremia Frimpong kutoka Bayer Leverkuzen mapema wakati wa dirisha dogo la usajili.

Frimpong (22) ni beki wa kulia wa klabu Leverkuzen ya Ujerumani na timu ya taifa ya Uholanzi.

Takwimu zake akiwa Leverkusen hadi sasa ana mabao 12 tangu kujiunga kwake mwaka 2021.

Pia katika klabu ya Celtic Glosaw Frimpong alifunga mabao matatu huku akicheza nafasi ile ile ya beki wa kulia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live