Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jemedari Said: Siwaoni Simba, Yanga wakivuka Robo Fainali CAF (+Video)

Jemedari Said The Voice Less Jemedari Said

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Macho na masikio ya wapenzi wa soka nchini yakiwa nchini Misri kusubiri Droo ya Michezo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa baraani Afroka msimu wa 2023/24.

Kumekuwa na maoni mengi kuelekea Droo hiyo kuhusiana na kuvuka kwa vilabu viwili vya Tanzania Simba na Yanga.

Mchambuzi wa Michezo kutoka Efm, Jemeadari Said amesema haoni nafasi ya wawakilishi hao wa Tanzania wakipata nafasi ya kusonga hatua ya Nusu Fainali.

Akizungumza Jemedari anasema;

View this post on Instagram

A post shared by Muziki Unaongea ???? (@efmtanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: