Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jembe jipya Simba lapewa jezi ngumu

Michael Fredy(1) Michael Fredy.

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba limepewa jezi ngumu ambayo ni namba 18 iliyokuwa inavaliwa na kiraka aliyeonja chungu na tamu na uwezo wake ulikuwa mkubwa kwenye kutimiza majukumu yake kila alipopewa nafasi.

Ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba limepewa jezi ngumu ambayo ni namba 18 iliyokuwa inavaliwa na kiraka aliyeonja chungu na tamu na uwezo wake ulikuwa mkubwa kwenye kutimiza majukumu yake kila alipopewa nafasi. Michael Fredy ameanza mazoezi na wachezaji wa Simba akiwa ni mshambuliaji anayetarajiwa kubeba mikoba ya Jean Baleke ambaye amekutana na Thank You.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live