Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jembe: Kwa Mutale, Simba wamepata mtu

Mutale 8Gc.jpeg Jembe: Kwa Mutale, Simba wamepata mtu

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Legend Saleh Ally Jembe ni miongoni mwa wale waliokuwa Misri kushuhudia maandalizi ya Simba kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara 2024/25 Jembe amezungumzia mchezo mzima kwa kuandika namna hii:-

Kisukuma Mutale, maana yake ni mkubwa, ila unatakiwa kuivuta kidogo Mutaale… Huyu Mutale wa Simba kiumbo si mkubwa lakini mambo yake ni makubwa na atakuwa gumzo ninaamini.

Kasi… nguvu… si mwoga na ana uwezo wa kuwatambuka hata walinzi watatu… Lakini hatari zaidi anapiga mashuti…

Mfano bao la pili la Simba dhidi ya Wasaudi, alipokea mpira pembeni, akatembea kwa kasi na kupiga shuti kali sana…Likagonga mwamba na kurudi ndani.

Wakati walinzi wanajishauri kwa kasi yake alishafika na kupiga shuti tena…BAOO. VIDEO YA BAO NINAYO MIMI TU….

Anyway ni mchezaji ambaye inaweza kuwa moja ya KARATA BORA WALIZOPATA SIMBA na ITACHANGIA WAREJEE…

Chanzo: www.tanzaniaweb.live