Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jean Baleke, Boka sasa ruksa kuwavaa Wahabeshi

Boka MzAM9sPx.jpeg Jean Baleke, Boka sasa ruksa kuwavaa Wahabeshi

Mon, 26 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji, Chadrack Boka na Jean Baleke baada ya kukosa michezo ya awali CAF champions league sasa wako huru kucheza hatua inayofuata CAF champions League.

Wachezaji, Chadrack Boka na Jean Baleke baada ya kukosa michezo ya awali CAF champions league sasa wako huru kucheza hatua inayofuata CAF champions League. ITC za Chadrack Boka na Baleke zilichelewa kufika, zilifika wakati ambao dirisha la CAF likiwa limefungwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live