Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Je Wajua? hili ndio bao lake la kwanza Ligi Kuu

Kindamba Omary Mlinzi wa Mashujaa, Omary Kindamba

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Mashujaa , Omary Kindamba alifunga bao lake la kwanza tangu aanze kucheza Ligi Kuu dhidi ya Ihefu septemba 16,2023 ya ushindi wa mabao 2-0 uwanja wa Lake Tanganyika.

Mlinzi wa Mashujaa , Omary Kindamba alifunga bao lake la kwanza tangu aanze kucheza Ligi Kuu dhidi ya Ihefu septemba 16,2023 ya ushindi wa mabao 2-0 uwanja wa Lake Tanganyika. Omary amevitumikia vilabu kadhaa vya Ligi Kuu kama vile JKT Tanzania,Ihefu sc na Ruvu shooting kwa misimu tofauti na amecheza Ligi Kuu kwa zaidi ya misimu 7.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: