Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Je Wajua? Hakuna Kocha Muingereza aliewahi kushinda EPL

EPL Trphyy Kombe la EPL

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je Wajua? Ni ukweli mchungu lakini hauna budi kusemwa, ni hivi licha ya historia yao kwenye ulimwengu wa soka duniani, na majivuni mengi waliyonayo waingereza linapokuja swala la kandanda, lakini hakuna kocha muingereza (English manager) aliyewahi kunyakua taji la Ligi Kuu (Premier League).

Waliowahi kufanya hivyo na;

WASKOTISH 2 (Alex Fergusson, Kenny Dalglish)

WAITALIANO 4 (Conte, Ancelloti, Ranieri, Manchini)

MHISPANIA 1 (Pep Guardiola)

MRENO 1 (Jose Mourinho)

MCHILE 1 (Manuel Pellegrini)

MFARANSA 1 (Arsene Wenger)

MJERUMANI 1 (Jurgen Klopp)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live