Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Je Ni kweli Chelsea mwaka wao huu?

Enzo Fernadez New Jersy Je Ni kweli Chelsea mwaka wao huu?

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kuanza msimu wa Ligi Kuu England 2023/24 kwa kusua sua, kuna jambo la kutazama katika kalabu ya Chelsea.

Msimu wa 2014-15 Arsenal ilishinda mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Man City huku kiungo wa Chelsea Oscar akibadilisha namba ya jezi toka 11 na kuvaa jezi namba 8 mwisho wa msimu Chelsea ikatwaa ubingwa wa EPL.

Msimu huu Arsenal imemtandika City kwenye mechi ya ngao ya jamii na Enzo amebadilisha namba ya jezi toka 5 na kuvaa namba 8.

Nini kitatokea mwisho wa msimu? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live