Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Je, Kane ndiyo chanzo cha Bayern kukosa makombe?

Skysports Harry Kane Bayern Munich 6265178 Harry Kane

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Bayern Munich, Muingereza Harry Kane amekuwa na wakati mgumu tangu ajiunge na klabu hiyo na kuanza kuzua mijadala kuwa ameisababishia kupoteza hali yao ya ushindi baada ya kupoteza Super Cup, DFB-Poker na sasa wapo nafasi ya pili kwenye Bundesliga wakiwa nyuma alama 7 nyuma ya vinara Bayer 04 Leverkusen.

Nyota wa Bayern Munich, Muingereza Harry Kane amekuwa na wakati mgumu tangu ajiunge na klabu hiyo na kuanza kuzua mijadala kuwa ameisababishia kupoteza hali yao ya ushindi baada ya kupoteza Super Cup, DFB-Poker na sasa wapo nafasi ya pili kwenye Bundesliga wakiwa nyuma alama 7 nyuma ya vinara Bayer 04 Leverkusen. Je, unadhani Kane ndiyo chanzo cha Bayern kukosa makombe?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live