Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Z anawamiliki Vini Jr , Martineli

Take A Sneak Peek At The Vini Jr Netflix Documentary.png Jay Z na Vinicius Jr

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Roc Nation Sports ya Jay-Z imekamilisha ununuzi wa TFM, kampuni ya uwakala ambayo inawamiliki wachezaji wa Ki-Brazil akiwemo, Vinicius Jr, Gabriel Martinelli na Endrick.

Roc Nation Sports ya Jay-Z imekamilisha ununuzi wa TFM, kampuni ya uwakala ambayo inawamiliki wachezaji wa Ki-Brazil akiwemo, Vinicius Jr, Gabriel Martinelli na Endrick. Ofisi za Roc Nation Sports nchini Brazil sasa zitakuwa katika mji wa São Paulo na kusimamiwa na Frederico Pena, ambaye ni muanzilishi wa TFM.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live