Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Janga la majeraha lazua hofu Man United

Majanga Man United Injury Janga la majeraha lazua hofu Man United

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wanasema Tyrell Malacia, Luke Shaw na Aaron Wan-Bissaka watakosekana kwa muda mrefu.

Manchester United wanasema Tyrell Malacia, Luke Shaw na Aaron Wan-Bissaka watakosekana kwa muda mrefu. Wachezaji hao walikumbwa na majeraha na taarifa zinasema watakaa nje ya Uwanja kwa muda mrefu hali inayozua hofu kwa Kocha Erik Ten Hag.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live