Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamhuri yafanya maajabu Mapinduzi Cup

Jamhurii48254 Jamhuri yafanya maajabu Mapinduzi Cup

Sat, 6 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa Timu ya Jamhuri wakishangilia bao lao la Pili la ushindi dhidi ya Timu ya Jamus lililofungwa na mshambuliaji wake Abdillah Ramadhani katika dadika ya 65 ya mchezo huo kipindi cha pili.

Katika mchezo huo Timu ya Jamhuri imeshinda kwa bao 2-1.

Timu ya Jamhuri imefanikiwa kuingia robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 ambapo itakutana na Simba Sc.

 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live