Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamhuri Dodoma ruksa kutumika

Dodoma Jiji Jamhuri Dodoma Jiji wanautumia Uwanja wa Jamhuri

Mon, 28 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye timu ya Dodoma Jiji itaanza tena kuchezea nyumbani mechi zake za Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia Bodi ya Ligi kuufungulia Uwanja wa Jamhuri uliopo Dodoma.

Tangu mwanzo mwa msimu, Dodoma Jiji wamekuwa wakichezea mkoa wa jirani, Singida mechi zao za Ligi Kuu, ambayo imeemelezwa kama sababu Kuu ya timu hiyo kufanya vibaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live