Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

James Ward-Prowse aanza na moto huu West Ham

Ward Prawse James Ward-Prowse

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

James Ward-Prowse ni mchezaji wa kwanza wa West Ham kutoa asisti 2+ za mabao katika mechi yake ya kwanza kwenye EPL, huku Muingereza huyo akiwa ni mchezaji wa 311 kuitumikia Hammers kwenye ligi hiyo.

James Ward-Prowse ni mchezaji wa kwanza wa West Ham kutoa asisti 2+ za mabao katika mechi yake ya kwanza kwenye EPL, huku Muingereza huyo akiwa ni mchezaji wa 311 kuitumikia Hammers kwenye ligi hiyo. Ward Prowse aliweka rekodi hiyo Jumapili iliyopita katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Chelsea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live