Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

James Akaminko kupewa 'thank you' na Azam FC

AKAMINKO 3 1 Of 1 1024x650 James Akaminko.

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasiwasi wa James Akaminko kuondoka ndani ya Azam FC umeongezeka baada ya hapo jana Azam FC kukamilisha usajili wa kiungo Ever Meza kutokea Leonnes ya nchini Colombia.

Za ndani kabisa zinadai kuwa nyota huyo ampema alishaomba kwenda kutafuta changamoto mpya sehemu nyingine na inawezekana Ever Meza ndiye anaekwenda kuchukua nafasi ya Akaminko.

Simba SC imekuwa ikitajwa mara kadhaa kuiwinda saini ya kiungo huyo raia wa Ghana ambae amekuwa kwenye kiwango Bora sana akiwa na Azam FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live