Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamal Musiala ndiye kinda zaidi Kombe la Dunia

Jamal Musiala.jpeg Jamal Musiala

Thu, 24 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani, Jamal Musiala ndiye mchezaji wa kwanza wa nchi hiyo mwenye umri mdogo zaidi kucheza Kombe la Dunia akiwa na umri wa miaka 19 na siku 270, tangu alipofanya hivyo Karl-Heinz Schnellinger mwaka 1958 ambapo alishiriki michuano ya Kombe la Dunia akiwa na miaka 19 na siku 72.

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani, Jamal Musiala ndiye mchezaji wa kwanza wa nchi hiyo mwenye umri mdogo zaidi kucheza Kombe la Dunia akiwa na umri wa miaka 19 na siku 270, tangu alipofanya hivyo Karl-Heinz Schnellinger mwaka 1958 ambapo alishiriki michuano ya Kombe la Dunia akiwa na miaka 19 na siku 72. Jamal hii leo amepangwa kuanza katika kikosi cha kwanza cha Ujerumani kitakachoingia dimbani kuchuana na Japan katika mchezo wa kundi E wa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live