Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamal Musiala: Role model wangu ni Messi

Jamal Musiala Messi Jamal Musiala: Role model wangu ni Messi

Fri, 12 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa timu ya Taifa ya Ujerumani Jamal Musiala ameulizwa kuhusu Kuvaa jezi namba 10 akiwa Timu ya Taifa , Jamal ametolea ufafanuzi na mwisho amesema Role model wake ni Messi na Ronaldonho

“Jezi namba 10 imekuwa ndoto kwangu tangu nikiwa mdogo haswa baada ya kumtazama Messi,Lakini sitaruhusu hilo liniathiri, nitacheza kwa kiwango kile kile hata hata nikipewa namba tofauti.”

Alipoulizwa kuhusu mchezaji bora wa muda wote GOAT; “Kwangu mimi ni Messi,” amesema Jamal amemaliza kwa kusema hivyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live