Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamaica wamuita Greenwood

Mason Greenwood Manchester United 2021 22 Bsoj7tsp7ood1c835i36calft Mason Greenwood

Wed, 23 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taifa la Jamaica lipo tayari kumpa uraia Mshambuliaji wa tmu ya Taifa ya England Mason Greenwood.

Hatua hiyo imekuja baada ya raia wengi wa England kumzonga mchezaji huyo kwa kitendo chake cha kumpiga mpenzi wake.

Tukio hilo lilimpelekea kufunguliwa mashtaka ambayo baadae yalifutwa na Klabu yake Juzi Jumatatu imetoa taarifa ya kuachana nae.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live