Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jackson wa Chelsea aungana na Enzo Fernandes

Enzo Fernandes Niclous Jackson Jackson wa Chelsea aungana na Enzo Fernandes

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshamhuliaji wa Chelsea Raia wa Senegal, Niclous Jackson yeye ameweka wazi kua yupo Pamoja na kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandes kuhusu tuhuma walizomtuhumu Ufaransa na Wachezaji wanzeke kua yeye ni mbaguzi.

Jackson amepost videos Instagram yake akimuonyesha Enzo akiwa na Kijana wa kiume mwenye rangi nyeusi Wakicheza pamoja. Mwamba anaamini Enzo Hana ubaguzi wowote isipokua Watu weusi ukiwaambia ukweli wanaumia sana.

Fofana na Wenzake wameumia sana mwamba kushiriki kwenye wimbo ambao uliibwa na Mashabiki wote wa Argentina na Wachezaji wote wakiwemo kina Garnacho Mac Al Ster kwamba Unajikuta Mfaransa wakati baba ni Nigeria mama ni Angola.

Jackson yupo pamoja na mwanae Enzo anaunga mkono kabisa na sisi WaAfrica tupo pamoja na Enzo Kuna muda lazima uambiwe ukweli, Unajita mzungu wakati wewe ni mweusi heti mzungu mweusi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: