Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JS Kabylie yamvunjia Mkataba Simon Msuva

Msuva X JS Kabylie Mkataba.jpeg JS Kabylie yamvunjia Mkataba Simon Msuva

Wed, 20 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imetangaza kuvunja Mkataba na nyota wa kimataifa wa Tanzania Simon Happygod Msuva ambaye alijiunga na klabu hiyo Julai 2023.

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imetangaza kuvunja Mkataba na nyota wa kimataifa wa Tanzania Simon Happygod Msuva ambaye alijiunga na klabu hiyo Julai 2023. Hivyo Msuva ni mchezaji huru. Je unatamani kumuona Msuva akitua Klabu gani kwa sasa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live