Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKT yatuma barua ya salam kibabe Mashujaa

Jkts Mgs.jpeg JKT yatuma barua ya salam kibabe Mashujaa

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo kuna vita nyingine ya ligi kuu ambapo kwenye dimba la Kambarage Shinyanga utapigwa mchezo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Mashujaa Fc majira ya saa kumi kamili jioni.

Klabu ya JKT Tanzania imewatumia salamu Mashujaa Fc juu ya mchezo wao wa leo na kipigo chao cha kizalendo kitawageukia au mambo yatakwendaje?

Mashujaa bado hawajapoteza mchezo wowote wa ligi kuu ya NBC kwenye mechi nne walichoza. Wakati huo huo Azam nao wana mechi leo dhidi ya Dodoma jiji saa moja usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live