Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKT walazimishwa sare na Namungo

JKT VS Namungo JKT walazimishwa sare na Namungo

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya bila mabao na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.

Timu ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya bila mabao na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo, JKT Tanzania inafikisha pointi 17 na kusogea nafasi ya 11, wakati Namungo FC imetimiza pointi 19 na kupanda nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live