Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKT, Yanga hakuna mbabe

Kichuya Yao Asd JKT, Yanga hakuna mbabe

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa #LigiKuuBara kati ya Timu ya #JKTTanzania dhidi ya #YangaSC umemalizika kwa matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo, leo Aprili 24, 2024.

Mchezo wa #LigiKuuBara kati ya Timu ya #JKTTanzania dhidi ya #YangaSC umemalizika kwa matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo, leo Aprili 24, 2024. Baada ya matokeo hayo Yanga imeendelea kuongoza Msimamo kwa kufikisha pointi 59 ikiwa na michezo 23, ikifuatiwa na #AzamFC yenye pointi 54 michezo 24 kisha Simba alama 46 kwenye michezo 21, huku JKT ambayo ipo nafasi ya 14 kati ya timu 16 ikifikisha alama 23 katika michezo 23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live