Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKT Tz vs Yanga kitapigwa leo?

JKT TZ X Yanga JKT Tz vs Yanga kitapigwa leo?

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo jioni kunatarajiwa kuwa na pambano la Ligi Kuu Bara katı ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.

Leo jioni kunatarajiwa kuwa na pambano la Ligi Kuu Bara katı ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam. Mazingira ya uwanja huo sio rafiki Mvua zikiwa zinanyesha kama ilivyo sasa, unadhani kwa hali hii ya hewa pambano hilo litapigwa uwanjani hapo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: