Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKT Tanzania wanazihitaji alama tatu kutoka kwa Simba kesho

Kocha Msaidiz JKT .jpeg JKT Tanzania wanazihitaji alama tatu kutoka kwa Simba kesho

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya JKT Tanzanaia imesema inazibitaji kwa udi na uvumba alama tatu dhidi ya Simba SC hapo kesho katika mchezo wa kukamilisha Raunds ya kwanza ya NBC Primier League.

Kocha Masiadizi George Mketo ameyasema hayo leo Februari 14, 2024 kwenye mkutano wa wawaandishi wa habari alipokuwa akizungumzia maandalizi kuelekea mcbezo huo.

"Tunahitaji alama tatu kesho ili tuanze vizuri katika uwanja wetu wa nyumbani kama mnavyojua ulifungiwa na kwa mara ya kwanza unafunguliwa kwa kucheza dhidi ya Simba.

"Tunafahamu watakuja kwa kujiamini, tunafahamu wana matokeo mazuri katika kipindi cha karibuni lakini na sisi tunahitaji matokeo," alisema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live