Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKT, Simba kukipiga mchana

Simba Vs Tembo ASFC.jpeg JKT, Simba kukipiga mchana

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imebadilisha muda wa kuanza mchezo namba 119 wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba utoka saa 12 jioni hadi saa 10 alasiri.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imebadilisha muda wa kuanza mchezo namba 119 wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba utoka saa 12 jioni hadi saa 10 alasiri. Taarifa iliyotolewa leo Februari 13 na bodi hiyo, imeeleza kuwa mchezo huo utafanyika Februari 15, 2024 kama ilivyopangwa, isipokuwa muda wa kuanza umebadilika kutokana na JKT Tanzania FC kubadilisha uwanja wanaotumia kwa michezo ya nyumbani kutoka Azam Complex kwenda Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, ambao hauna taa za kuwezesha kuchezwa usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live